Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa Kyela 1. Dereva – Nafasi […]
Continue Reading »
Hili hapa tangazo la Mkurugenzi wa Halmashuri ya Mji Njombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga 1. Dereva – Nafasi 6 Download PDF hapa […]
Continue Reading »
Leo tarehe 09 Februari, 2026, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa […]
Continue Reading »