Ajira

Matokeo ya Usaili Sekretarieti ya Ajira 06/06/2026

Filed in Ajira by on June 7, 2026
Matokeo ya Usaili Sekretarieti ya Ajira 06/06/2026

Haya hapa Matokeo ya usaili 06/06/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Continue Reading »

Matokeo ya Usaili Sekretarieti ya Ajira 13/05/2026

Filed in Ajira by on May 14, 2026
Matokeo ya Usaili Sekretarieti ya Ajira 13/05/2026

Haya hapa Matokeo ya Usaili Sekretarieti ya Ajira 13/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Saudi Arabia 2026

Filed in Ajira by on April 4, 2026
Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Saudi Arabia 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya “Dalba Consulting Group” inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 300 za Uuguzi zilizotolewa na Wizara ya Afya ya nchini Saudi Arabia kama ilivyoelezwa katika jedwali hapa chini:- […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi TIA na TMA 2026

Filed in Ajira by on April 3, 2026
Nafasi za Kazi TIA na TMA 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi. Tunakaribisha wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma, wenye uadilifu, […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026

Filed in Ajira by on February 22, 2026
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa Kyela 1. Dereva – Nafasi […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Mji Njombe 2026

Filed in Ajira by on February 12, 2026
Nafasi za Kazi Mji Njombe 2026

Hili hapa tangazo la Mkurugenzi wa Halmashuri ya Mji Njombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga 1. Dereva – Nafasi 6 Download PDF hapa […]

Continue Reading »

Kuitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026

Filed in Ajira by on February 9, 2026
Kuitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026

Leo tarehe 09 Februari, 2026, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa […]

Continue Reading »

Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026

Filed in Ajira by on February 9, 2026
Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026

Leo, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Wilaya ya Mwanga 2026

Filed in Ajira by on February 7, 2026
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mwanga 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga 1. Dereva – Nafasi […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi TEMESA 2026

Filed in Ajira by on February 5, 2026
Nafasi za Kazi TEMESA 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, wenye uwezo mkubwa, wanaolenga matokeo, wanaojituma, waadilifu na wenye ari ya kazi kuomba kujaza nafasi sita (6) za kazi zilizo wazi kama […]

Continue Reading »