Tag: ACSEE
Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 ACSEE NECTA
Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 ACSEE NECTA wa Cheti cha Juu cha Elimu ya Sekondari unahusisha mitihani ya nadharia (theory) na ya vitendo (practical). Ratiba imepangwa kwa siku na vipindi vya asubuhi na alasiri. Hivyo, Ratiba hii imetolewa na Baraza la Mitihani Tanzania unaweza tembelea tovuti yao rasmi kwa maelezo zaidi na […]