Tag: Kombi ya HGK
Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa Kombi ya HGK
Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa Kombi ya HGK History, Geography and Kiswahili (HGK) Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi.
Kada tarajiwa
- Ualimu
- Archeology
- Uandishi wa Habari
- Rasilimaliwatu
- Uthamini majengo na ardhi
- Ugavi
- Ukutubi
- Utunzaji wa Kumbukumbu
- Utawala
- Sheria
- Sayansi ya Siasa
- Diplomasia
- Sosholojia n.k
Soma zaidi: