Ajira
Nafasi za Kazi NECTA
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi (ajira) kutoka Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania, maarufu kama NECTA, ni taasisi ya serikali inayohusika na usimamizi wa mitihani ya taifa nchini Tanzania. NECTA ina jukumu la kuhakikisha mitihani inafanyika kwa viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa, kwa kuzingatia haki, usawa, na ubora wa elimu. Ajira mpya […]