Nafasi za Kazi NAOT 2026
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 142 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo
| S/N | Jina La Tangazo La Kazi | Idadi Ya Nafasi | Mwajiri |
|---|---|---|---|
| 1 | Mkaguzi Daraja La II | 121 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 2 | Afisa Habari Daraja La II (Ubunifu Wa Michoro) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 3 | Afisa Habari Daraja La II (Uandishi Wa Habari) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 4 | Mkaguzi Daraja La II (Udaktari Wa Mifugo) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 5 | Mkaguzi Daraja La II (Famasi) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 6 | Mkaguzi Daraja La II (Afya Ya Jamii) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 7 | Mkaguzi Daraja La II (Ustawi Wa Jamii) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 8 | Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Maji Na Usafi Wa Mazingira) | 2 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 9 | Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Umwagiliaji Na Rasilimali Za Maji) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 10 | Mkaguzi Daraja La II (Sayansi Ya Taarifa Za Kijiografia) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 11 | Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Vifaa Tiba) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 12 | Mkaguzi Daraja La II (Uthaminishaji Ardhi) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 13 | Mkaguzi Daraja La II (Mipango Ya Matumizi Ya Ardhi) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 14 | Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Umeme) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 15 | Mkaguzi Daraja La II (Ukadiriaji Ujenzi) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 16 | Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Ujenzi) | 2 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 17 | Mkaguzi Daraja La II (Usanifu Wa Majengo) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 18 | Mkaguzi Daraja La II (Sayansi Ya Takwimu Bima) | 1 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
| 19 | Mkaguzi Daraja La II (Menejimenti Ya Kodi) | 2 | Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT) |
Jumla Ya Nafasi Zote: 142
Nukuu Ya Kipekee:
“Ukaguzi Madhubuti Ni Msingi Wa Uwajibikaji Na Maendeleo Endelevu Ya Taifa.
Jinsi ya Kutuma maombi
Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
S. L. P. 2320, DODOMA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 24 Januari, 2026.
Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.
Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.
Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.
Soma zaidi:
- Nafasi za Kazi Wilaya ya Kilwa 2025
- Nafasi za Kazi Wilaya ya Ludewa 2025
- Walioitwa Kazini Bunge la Tanzania 2025
- Walioitwa Kazini Ajira Portal 2025
- Nafasi za Kazi Shirika la ndege Air Tanzania 2025
- Walioitwa Kwenye Usaili NHC 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili NOAT 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili TIRDO 2026
- Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Taifa Muhimbili 2026
Tags: NAOT