Nafasi za Kazi TEMESA 2026
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, wenye uwezo mkubwa, wanaolenga matokeo, wanaojituma, waadilifu na wenye ari ya kazi kuomba kujaza nafasi sita (6) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini;
Ajira Mpya zilizotangazwa TEMESA
1. Meneja wa Kanda – Nafasi 6
Soma zaidi:
Tags: TEMESA