Tag: AIR Tanzania
Mafunzo kwa Wafanyakazi wa ndani ya Ndege Air Tanzania
Shirika la Ndege la Tanzania ATCL limetangaza nafasi za mafunzo kwa Wafanyakazi wa ndani ya Ndege (Cabin Crew) ambapo mafunzo hayo yatatolewa kupitia kituo cha Shirika hilo kilichopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam. Kituo cha Mafunzo cha ATCL kinafuraha kutangaza ufunguzi wa maombi ya kozi yake ya wafanyakazi […]