Tag: Bahi
Nafasi za Kazi Wilaya ya Bahi 2026
Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Bahi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Bahi 1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi […]