Tag: CAMARTEC

Walioitwa Kwenye Usaili CAMARTEC 2026

Filed in Ajira by on January 8, 2026
Walioitwa Kwenye Usaili CAMARTEC 2026

Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili unatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 18 Januari 2026 hadi 14 Februari […]

Continue Reading »

Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

Filed in Taasisi by on January 8, 2026
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini, maarufu kama CAMARTEC, ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kufanya utafiti, kubuni, na kuendeleza zana na teknolojia zinazofaa kwa kilimo na maendeleo ya vijijini nchini Tanzania. Kituo kinalenga kuongeza tija ya kilimo, kupunguza kazi ngumu kwa wakulima, na kuboresha maisha ya wananchi wa vijijini. Historia ya […]

Continue Reading »