Tag: Chuo cha Uhasibu

Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) 2026

Filed in Ajira by on January 8, 2026
Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) 2026

Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili unatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 18 Januari 2026 hadi 14 Februari 2026. Baada ya usaili, […]

Continue Reading »