Tag: DUCE
Nafasi za Kazi Chuo cha DUCE 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam 2026, maarufu kama DUCE, ni chuo cha umma chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya juu katika fani za elimu, sayansi, na michezo. DUCE inalenga kuandaa walimu na wataalamu wa elimu […]