Tag: FTNA
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili 2025-26 NECTA
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili 2025 NECTA yatakayo tangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania hivi karibuni kupitia kiunganishi cha www.necta.go.tz. Matokeo ya Kidato cha Pili 2025 FTNA hutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Yanaweza kuangaliwa kwa njia kuu mbili: mtandaoni kupitia tovuti ya NECTA au kupitia simu kwa kutumia USSD/SMS. […]