Tag: Gairo
Nafasi za Kazi Wilaya ya Gairo 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na […]