Tag: Handeni
Nafasi za Kazi Wilaya ya Handeni 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Handeni anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ishirini na nane (28) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na […]