Tag: Kazi COSTECH
Nafasi za Kazi COSTECH 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ama ajira mpya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, maarufu kama COSTECH, ni taasisi ya serikali inayoratibu na kusimamia maendeleo ya sayansi, teknolojia, na ubunifu nchini Tanzania. Tume inalenga kutumia sayansi na teknolojia kama chachu ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya taifa. Ajira Mpya zilizotangazwa na […]