Tag: Ludewa
Nafasi za Kazi Wilaya ya Ludewa 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Ludewa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nane (8) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N […]