Tag: Mji Njombe
Nafasi za Kazi Mji Njombe 2026
Hili hapa tangazo la Mkurugenzi wa Halmashuri ya Mji Njombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga 1. Dereva – Nafasi 6 Download PDF hapa […]