Tag: Mpanda
Nafasi za Kazi Manispaa ya Mpanda 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi kutoka Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda anawatangazia wananchi wote kuomba nafasi ya kazi ya ajira ya Mkataba kama ifuatavyo: Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo 1. Mwalimu – Nafasi 5 2. Mpishi – Nafasi 1 3. Walezi wa Watoto – Nafasi 2 Pitia makala: Masharti ya Jumla wakati wa […]