Tag: Nactvet B
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET)
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kusimamia, kuratibu, na kudhibiti elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini Tanzania. NACTVET inalenga kuhakikisha mafunzo ya ufundi stadi yanakuwa na ubora, yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira, na yanayochangia maendeleo ya uchumi wa taifa. […]