Tag: NACTVET
Nafasi za kazi NACTVET 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kusimamia, kuratibu, na kudhibiti elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini Tanzania. NACTVET inalenga kuhakikisha mafunzo ya ufundi stadi yanakuwa na ubora, yanayokidhi mahitaji […]