Tag: Ofisi ya Msajili wa Hazina

Nafasi za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina 2026

Filed in Ajira by on January 29, 2026
Nafasi za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, uwezo wa juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma binafsi, wenye uadilifu na ari ya kazi kuomba kujaza nafasi ishirini na sita (26) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa […]

Continue Reading »