Tag: RUWASA
Walioitwa Kwenye Usaili RUWASA 2026
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili unatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 18 Januari 2026 hadi 14 Februari […]