Tag: Songea
Nafasi za Kazi Wilaya ya Songea 2026
Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Songea 1. Msaidizi wa Kumbukumbu – […]