Tag: Tie
Nafasi za Kazi TIE 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi / ajira kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), ni taasisi ya serikali yenye jukumu la kuandaa, kuendeleza, na kuboresha mitaala ya elimu nchini Tanzania. TIE inalenga kuhakikisha elimu inayotolewa inakidhi mahitaji ya kijamii, kiuchumi, kisayansi, na kiteknolojia kwa maendeleo endelevu ya taifa. Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N […]