Tag: Uhamiaji
Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Idara ya Uhamiaji Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa waombaji wa Zanzibar wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Nne (04), kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo […]
Ajira za Konstebo wa Uhamiaji – Desemba 2025
Tangazo Rasmi la Ajira za Konstebo wa Uhamiaji – Desemba 2025 hadi Januari 2026 Maombi yatume kupitia mfumo wa ajira e-recruitment.immigration.go.tz. Tangazo hili limetolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa mujibu wa Kifungu Na. 11(1) cha Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, likitangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana […]