Tag: Usaili Uhamiaji
Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026
Leo, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi […]