Tag: Wilaya ya Kyela

Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026

Filed in Ajira by on February 22, 2026
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa Kyela 1. Dereva – Nafasi […]

Continue Reading »