Tag: Wizara ya Afya

Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Saudi Arabia 2026

Filed in Ajira by on April 4, 2026
Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Saudi Arabia 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya “Dalba Consulting Group” inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 300 za Uuguzi zilizotolewa na Wizara ya Afya ya nchini Saudi Arabia kama ilivyoelezwa katika jedwali hapa chini:- […]

Continue Reading »