Sinza Yetu
Sinza yetu makala mbalimbali
  • Ajira
  • Taasisi

Home » Nafasi za Kazi Wilaya ya Bahi 2026

Nafasi za Kazi Wilaya ya Bahi 2026

Filed in Ajira by Ubungo on January 25, 2026
WhatsApp Broadcast Group

Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Bahi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.

Ajira Mpya zilizotangazwa Bahi

1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 5

2. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 3

Download PDF hapa

Soma zaidi:

Related Posts:

  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Mwanga 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Mvomero 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Nachingwea 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Songea 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Buchosa 15,01,2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Kigoma 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Handeni 2026
  • Nafasi za Kazi Wilaya ya Gairo 2026
  • Nafasi za Kazi za Mkataba Wilaya ya Tunduru 2026
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2025 NECTA Mikoa Yote Hapa
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2025 NECTA Haya Hapa Yote…
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2025-26 NECTA
  • Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili 2025-26 NECTA
  • Matokeo ya Darasa la Nne 2025 NECTA Mikoa Yote Hapa

Tags: Bahi

Comments are closed.

« Nafasi za Kazi Wilaya ya Nachingwea 2026
Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 NECTA Kutangazwa »
  • Ajira
  • Taasisi
© 2026 Sinza Yetu. All rights reserved. Tafta makala mbalimbali.