Ajira
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kyela 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa Kyela 1. Dereva – Nafasi […]
Nafasi za Kazi Mji Njombe 2026
Hili hapa tangazo la Mkurugenzi wa Halmashuri ya Mji Njombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga 1. Dereva – Nafasi 6 Download PDF hapa […]
Kuitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026
Leo tarehe 09 Februari, 2026, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa […]
Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2026
Leo, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa. Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi […]
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mwanga 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga 1. Dereva – Nafasi […]
Nafasi za Kazi TEMESA 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, wenye uwezo mkubwa, wanaolenga matokeo, wanaojituma, waadilifu na wenye ari ya kazi kuomba kujaza nafasi sita (6) za kazi zilizo wazi kama […]
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mvomero 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nane (8) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa Mvomero 1. Dereva – […]
Mafunzo kwa Wafanyakazi wa ndani ya Ndege Air Tanzania
Shirika la Ndege la Tanzania ATCL limetangaza nafasi za mafunzo kwa Wafanyakazi wa ndani ya Ndege (Cabin Crew) ambapo mafunzo hayo yatatolewa kupitia kituo cha Shirika hilo kilichopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam. Kituo cha Mafunzo cha ATCL kinafuraha kutangaza ufunguzi wa maombi ya kozi yake ya wafanyakazi […]
Nafasi za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, uwezo wa juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma binafsi, wenye uadilifu na ari ya kazi kuomba kujaza nafasi ishirini na sita (26) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa […]
Nafasi za Kazi Wilaya ya Bahi 2026
Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Bahi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa Bahi 1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi […]