Ajira
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mvomero 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nane (8) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Ajira Mpya zilizotangazwa Mvomero
1. Dereva – Nafasi 2
2. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 2
3. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 2
Soma zaidi:
Mafunzo kwa Wafanyakazi wa ndani ya Ndege Air Tanzania
Shirika la Ndege la Tanzania ATCL limetangaza nafasi za mafunzo kwa Wafanyakazi wa ndani ya Ndege (Cabin Crew) ambapo mafunzo hayo yatatolewa kupitia kituo cha Shirika hilo kilichopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam.
Kituo cha Mafunzo cha ATCL kinafuraha kutangaza ufunguzi wa maombi ya kozi yake ya wafanyakazi ndani ya ndege (Cabin Crew). Kozi hii ya miezi mitatu (3) imepangwa kuanza tarehe 9 Machi, 2026.

Sifa za Mwombaji
Umri: Kuanzia miaka 18 hadi miaka 25.
Michoro mwilini: Mwombaji asiwe na michoro ya kudumu mwilini (tattoos).
Muonekano: Awe mwenye akili timamu na mwenye urefu wa kuanzia futi 5’4 (162cm).
Elimu: Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne na ufaulu angalau wa masomo manne kwa alama “D”. Somo la Kiingereza na Jiografia ni lazima.
Lugha: Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kwa ufasaha Kiswahili na Kiingereza. Aidha, mwombaji mwenye uelewa wa lugha nyingine zaidi ya kigeni kama Kiarabu, Kichina au Kifaransa atapewa kipaumbele.
Uraia: Awe Mtanzania au raia wa kigeni mwenye vibali halali vinavyomruhusu kusoma nchini. Waombaji kutoka nchi za kigeni wanatakiwa kuwasilisha matokeo ya vyeti vyao Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) ili kupata ulinganifu wa matokeo.
Barua ya Maombi
Maombi yote ni lazima yaambatanishwe na nyaraka zifuatazo:
- Nakala ya cheti cha kidato cha nne na vyeti vingine vya shule/chuo alichohitimu.
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa.
- Picha mbili ndogo (passport size) na picha moja yenye kuonyesha umbo lote ukubwa wa 6×8.
- Wasifu wa mwombaji (Curriculum Vitae – CV).
Kuwasilisha Maombi
Maombi yawasilishwe kwa Mkuu wa Chuo, Jengo la Chuo cha ATCL (Ofisi ya Utawala), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Terminal One au kupitia barua pepe:
Maombi yote yatumiwe kabla ya tarehe 15 Februari, 2026.
Anuani:
- Mkuu wa Chuo,
- ATCL Training Center,
- S.L.P 543, Dar es Salaam.
Mawasiliano:
- Piga: +255 754 345 874
- Au: +255 690 787 568
Soma zaidi:
Nafasi za Kazi Ofisi ya Msajili wa Hazina 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, uwezo wa juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma binafsi, wenye uadilifu na ari ya kazi kuomba kujaza nafasi ishirini na sita (26) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.
Ajira Mpya zilizotangazwa OTR
| S/N | Jina La Tangazo La Kazi | Idadi Ya Nafasi | Mwajiri |
|---|---|---|---|
| 1 | Afisa Mwandamizi Wa Usimamizi Wa Fedha | 6 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 2 | Afisa Wa Usimamizi Wa Fedha Daraja La Kwanza | 4 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 3 | Mtaalamu Mwandamizi Wa Uchumi | 3 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 4 | Mtaalamu Wa Uchumi Daraja La Kwanza | 4 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 5 | Mhasibu Mwandamizi | 2 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 6 | Mhasibu Daraja La Kwanza | 3 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 7 | Mchambuzi Mwandamizi Wa Usimamizi | 1 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 8 | Mchambuzi Wa Usimamizi Daraja La Kwanza | 2 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
| 9 | Afisa Mwandamizi Wa Usimamizi Wa Hatari | 1 | Ofisi Ya Msajili Wa Hazina (OTR) |
Jumla Ya Nafasi Zote: 26
Nukuu Ya Kipekee:
“Usimamizi Bora Wa Fedha Na Hatari Ni Nguzo Muhimu Ya Uimara Wa Taasisi Za Umma.”
Soma zaidi:
Nafasi za Kazi Wilaya ya Bahi 2026
Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Bahi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Ajira Mpya zilizotangazwa Bahi
1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 5
2. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 3
Soma zaidi:
Nafasi za Kazi Wilaya ya Nachingwea 2026
Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na tano (15) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao
Ajira Mpya zilizotangazwa Nachingwea
1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 5
2. Dereva Daraja la II – Nafasi 2
3. Mwandishi Mwendesha Ofisi – Nafasi 8
Soma zaidi:
Nafasi za Kazi Wilaya ya Songea 2026
Hili hapa tangazo nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Ajira Mpya zilizotangazwa Songea
1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 5
Soma zaidi:
Fani na Taaluma Zinazohitajika Kujitolea JKT 2026
Fani na Taaluma Zinazohitajika Kujitolea Kuomba Nafasi za Mafunzo kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa JKT 2026.
Kipaumbele kitatolewa kwa vijana wenye sifa zifuatazo:
Ngazi ya Diploma
- Diploma in Information Technology
- Diploma in Business Information Systems
- Diploma in Computer Science
- Diploma in Information and Communication Technology (ICT)
- Diploma in Cyber Security and Digital Forensics
Ngazi ya Shahada (Bachelor Degree)
- Bachelor of Science in Computer Science
- Bachelor of Science in Information Technology
- Bachelor of Science in Computer Engineering
- Bachelor of Science in Business Information Technology
- Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics
- Bachelor of Science in Computer Networks and Information Security Engineering
Aidha, vijana wenye vipaji vya michezo mbalimbali wanahimizwa pia kutuma maombi kupitia Mikoa yao.
Soma zaidi:
Utaratibu wa Kuomba Mafunzo ya JKT 2026
Utaratibu wa Kuomba Nafasi za Mafunzo kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa JKT 2026
Utaratibu wa vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea unaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambako mwombaji anaishi.
Vijana wanashauriwa kuwasiliana na ofisi hizo kwa maelekezo ya kina kuhusu namna ya kuwasilisha maombi yao.
Soma zaidi:
Nafasi za Kujiunga na Jeshi JKT 2026
Nafasi za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kwa kujitolea mwaka 2026
Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yanawatangazia Vijana wote wa Kitanzania Bara na Visiwani kuhusu fursa za kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea kwa mwaka 2026.
Tangazo hili limetolewa na Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, kwa lengo la kuwahamasisha vijana wenye sifa mbalimbali kuchangamkia nafasi hizi muhimu za uzalendo na maendeleo binafsi.
Utaratibu wa Kuomba
Utaratibu wa vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea unaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambako mwombaji anaishi.
Vijana wanashauriwa kuwasiliana na ofisi hizo kwa maelekezo ya kina kuhusu namna ya kuwasilisha maombi yao.
Fani na Taaluma Zinazohitajika
Kipaumbele kitatolewa kwa vijana wenye sifa zifuatazo:
Ngazi ya Diploma
- Diploma in Information Technology
- Diploma in Business Information Systems
- Diploma in Computer Science
- Diploma in Information and Communication Technology (ICT)
- Diploma in Cyber Security and Digital Forensics
Ngazi ya Shahada (Bachelor Degree)
- Bachelor of Science in Computer Science
- Bachelor of Science in Information Technology
- Bachelor of Science in Computer Engineering
- Bachelor of Science in Business Information Technology
- Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics
- Bachelor of Science in Computer Networks and Information Security Engineering
Aidha, vijana wenye vipaji vya michezo mbalimbali wanahimizwa pia kutuma maombi kupitia Mikoa yao.
Ratiba ya Usaili na Mafunzo
- Usaili wa vijana wanaoomba kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea utaanza tarehe 26 Januari 2026 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
- Vijana watakaofaulu usaili watatakiwa kuripoti Makambi ya JKT kuanzia tarehe 27 Februari 2026 hadi 04 Machi 2026.
Fursa Baada ya Mafunzo
Jeshi la Kujenga Taifa linapenda kuwatangazia vijana kuwa:
- Mafunzo ya JKT hayatoi ajira ya moja kwa moja,
- Hata hivyo, hutoa msingi muhimu wa kujiajiri,
- Husaidia kupata fursa za ajira katika Asasi za Ulinzi na Usalama, Mashirika ya Serikali, pamoja na Sekta binafsi,
- Mafunzo haya huwajengea vijana nidhamu, uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kushiriki katika shughuli za kujenga na kulinda Taifa.
Taarifa Zaidi
Sifa kamili za mwombaji pamoja na maelekezo ya kina yanapatikana kwenye Tovuti rasmi ya JKT www.jkt.mil.tz
Hitimisho
Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, anawahimiza vijana wote wanaokidhi vigezo kujitokeza kwa wingi kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea ili kujenga uzalendo, umoja wa kitaifa na kuchangia maendeleo ya Taifa letu.
Soma zaidi:
Nafasi za Kazi Wilaya ya Buchosa 15,01,2026
Hili hapa tangazo la Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Buchosa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Soma zaidi: