Ajira

Walioitwa Kwenye Usaili RUWASA 2026

Filed in Ajira by on January 8, 2026
Walioitwa Kwenye Usaili RUWASA 2026

Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili unatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 18 Januari 2026 hadi 14 Februari […]

Continue Reading »

Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

Filed in Ajira by on January 8, 2026
Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili unatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 18 Januari 2026 hadi 14 Februari 2026. Baada ya usaili, waombaji watakaofaulu […]

Continue Reading »

Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha ARIMO 2026

Filed in Ajira by on January 8, 2026
Walioitwa Kwenye Usaili Chuo cha ARIMO 2026

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili chuo cha ARIMO Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba ajira kuwa usaili unatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 18 Januari 2026 hadi 14 Februari 2026. Baada ya usaili, waombaji watakaofaulu watapangiwa […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Chuo cha DUCE 2026

Filed in Ajira by on January 7, 2026
Nafasi za Kazi Chuo cha DUCE 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam 2026, maarufu kama DUCE, ni chuo cha umma chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya juu katika fani za elimu, sayansi, na michezo. DUCE inalenga kuandaa walimu na wataalamu wa elimu […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Wilaya ya Kigoma 2026

Filed in Ajira by on January 5, 2026
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kigoma 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (6) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. kwa mchanganuo ufuatao. Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar 2026

Filed in Ajira by on January 4, 2026
Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Idara ya Uhamiaji Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa waombaji wa Zanzibar wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Nne (04), kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Wilaya ya Handeni 2026

Filed in Ajira by on January 3, 2026
Nafasi za Kazi Wilaya ya Handeni 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Handeni anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ishirini na nane (28) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Wilaya ya Gairo 2026

Filed in Ajira by on January 3, 2026
Nafasi za Kazi Wilaya ya Gairo 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na […]

Continue Reading »

Nafasi za kazi Mji Babati 2026

Filed in Ajira by on January 3, 2026
Nafasi za kazi Mji Babati 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N Jina […]

Continue Reading »

Walioitwa Kazini Ajira Portal 2026

Filed in Ajira by on January 2, 2026
Walioitwa Kazini Ajira Portal 2026

Walioitwa Kazini Ajira Portal 2026 Matokeo ya Usaili Ajira za Serikali 2025–2026 – Sekretarieti ya Ajira Taarifa kwa Waombaji wa Nafasi za Ajira Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-04-2025 na tarehe 24-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo […]

Continue Reading »