Ajira

Nafasi za Kazi Wilaya ya Kilolo 8

Filed in Ajira by on January 15, 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuomba nafasi (08) za kazi baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.

Ajira Mpya zilizotangazwa Kilolo

1. Dereva Daraja la II – Nafasi 8

Soma zaidi:

Jinsi ya Kutuma maombi Handeni

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya Kilolo,
S.L.P. 2324,
KILOLO.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Rejea:

Ajira Mpya 1,500 za Ualimu wa Kujitolea TAMISEMI 2026

Filed in Ajira by on January 14, 2026

Ajira Mpya 1,500 za Ualimu wa Kujitolea 2026 – OWM-TAMISEMI (Mradi wa GPE-TSP) walimu wa sekondari kada ya walimu.

Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education – Teacher Support Programme, GPE-TSP) inatekeleza afua mbalimbali za kuimarisha ubora wa elimu nchini. Miongoni mwa afua hizo ni kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea katika Shule za Sekondari zilizo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kupitia mradi huu, OWM-TAMISEMI inatangaza nafasi 1,500 za Ualimu wa Kujitolea kwa Shule za Sekondari zenye uhitaji mkubwa, kwa kuzingatia Utaratibu wa Upangaji wa Walimu wa Shule za Sekondari (Secondary Teacher Allocation Protocol – S-TAP).

Wigo wa Nafasi Zinazotangazwa

Nafasi hizi zinalenga walimu wenye sifa katika maeneo yafuatayo:

  • Sayansi na Teknolojia (STEM)
  • Masomo ya Amali (Vocational Subjects)
  • Masomo ya Biashara (Business Studies)

Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha maombi ya nafasi hizi elfu moja na mia tano (1,500) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

Majukumu ya Jumla ya Mwalimu wa Kujitolea

Mwalimu wa Kujitolea atawajibika kutekeleza majukumu yafuatayo kwa mujibu wa miongozo ya elimu:

  1. Maandalizi ya Kitaaluma
    • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa.
  2. Zana za Ufundishaji na Ujifunzaji
    • Kutengeneza na kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia kwa kuzingatia mitaala husika.
  3. Ufundishaji na Tathmini
    • Kufundisha, kufanya tathmini za wanafunzi na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya kitaaluma.
  4. Usimamizi wa Mahudhurio
    • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi shuleni na darasani.
  5. Malezi na Ustawi wa Wanafunzi
    • Kusimamia malezi ya wanafunzi kiakili, kimwili na kiroho, pamoja na kutoa ushauri nasaha na unasihi.
  6. Ushauri wa Kitaalamu
    • Kutoa ushauri wa kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya elimu shuleni.
  7. Usimamizi wa Mali za Shule
    • Kusimamia na kutunza vifaa na mali za shule kwa uadilifu na uwajibikaji.
  8. Majukumu Mengine ya Shule
    • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na mahitaji na majukumu ya shule.

Bonyeza hapa kupakua PDF

Soma zaidi:

Nafasi za Kazi Manispaa ya Tabora 2026

Filed in Ajira by on January 14, 2026

Hili hapa tangazo la ajira mpya au nafasi za kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 5

Soma zaidi:

Jinsi ya Kutuma maombi Handeni

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

Mkurugenzi wa Manispaa,
Manispaa ya Tabora,
4 Barabara ya Kiwanja cha Ndege,
S.L.P 174,
45182 TABORA

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Rejea:

Nafasi za Kazi MDAs & LGAs 912

Filed in Ajira by on January 14, 2026

Hili hapa tangazo la ajira mpya Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 912 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La Tangazo La KaziIdadi Ya NafasiMwajiri
1Mwalimu Daraja La III C (Hisabati)709MDAs Na LGAs
2Mwalimu Daraja La III C (Fizikia)201MDAs Na LGAs
3Mlezi Wa Watoto Msaidizi2MDAs Na LGAs

Jumla Ya Nafasi Zote: 912

Soma zaidi:

Nukuu Ya Kipekee:
“Uwekezaji Katika Elimu Na Malezi Ni Uwekezaji Wa Moja Kwa Moja Katika Mustakabali Wa Taifa.”

Jinsi ya Kutuma maombi Handeni

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320,
Mtaa wa Mahakama, Tambukareli,
DODOMA.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Biolojia (Biology) 2026

Filed in Ajira by on January 14, 2026

Nafasi 332 za Ualimu wa Kujitolea 2026 – OWM-TAMISEMI (Mradi wa GPE-TSP) Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Biolojia (Biology) 2026.

Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education – Teacher Support Programme, GPE-TSP) inatekeleza afua mbalimbali za kuimarisha ubora wa elimu nchini. Miongoni mwa afua hizo ni kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea katika Shule za Sekondari zilizo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kupitia mradi huu, OWM-TAMISEMI inatangaza nafasi 332 za Ualimu wa Kujitolea kwa Shule za Sekondari zenye uhitaji mkubwa, kwa kuzingatia Utaratibu wa Upangaji wa Walimu wa Shule za Sekondari (Secondary Teacher Allocation Protocol – S-TAP).

Wigo wa Nafasi Zinazotangazwa

Nafasi hizi zinalenga walimu wenye sifa katika maeneo yafuatayo:

  • Sayansi na Teknolojia (STEM)
  • Masomo ya Amali (Vocational Subjects)
  • Masomo ya Biashara (Business Studies)

Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha maombi ya nafasi hizi 332 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Biolojia

  • Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Biolojia kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali; au
  • Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Biolojia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali; au
  • Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la Biolojia kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

Bonyeza hapa kupakua PDF

Soma zaidi:

Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Kemia (Chemistry) 2026

Filed in Ajira by on January 14, 2026

Nafasi 246 za Ualimu wa Kujitolea 2026 – OWM-TAMISEMI (Mradi wa GPE-TSP) Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Kemia (Chemistry).

Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education – Teacher Support Programme, GPE-TSP) inatekeleza afua mbalimbali za kuimarisha ubora wa elimu nchini. Miongoni mwa afua hizo ni kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea katika Shule za Sekondari zilizo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kupitia mradi huu, OWM-TAMISEMI inatangaza nafasi 246 za Ualimu wa Kujitolea kwa Shule za Sekondari zenye uhitaji mkubwa, kwa kuzingatia Utaratibu wa Upangaji wa Walimu wa Shule za Sekondari (Secondary Teacher Allocation Protocol – S-TAP).

Wigo wa Nafasi Zinazotangazwa

Nafasi hizi zinalenga walimu wenye sifa katika maeneo yafuatayo:

  • Sayansi na Teknolojia (STEM)
  • Masomo ya Amali (Vocational Subjects)
  • Masomo ya Biashara (Business Studies)

Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha maombi ya nafasi hizi mia mbili arobaini na sita (246) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

  • Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Kemia kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali; au
  • Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Kemia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali; au
  • Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la Kemia kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

Bonyeza hapa kupakua PDF

Soma zaidi:

Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Fizikia (Physics)

Filed in Ajira by on January 14, 2026

Nafasi 504 za Ualimu wa Kujitolea 2026 – OWM-TAMISEMI (Mradi wa GPE-TSP) Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Fizikia (Physics).

Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education – Teacher Support Programme, GPE-TSP) inatekeleza afua mbalimbali za kuimarisha ubora wa elimu nchini. Miongoni mwa afua hizo ni kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea katika Shule za Sekondari zilizo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kupitia mradi huu, OWM-TAMISEMI inatangaza nafasi 504 za Ualimu wa Kujitolea kwa Shule za Sekondari zenye uhitaji mkubwa, kwa kuzingatia Utaratibu wa Upangaji wa Walimu wa Shule za Sekondari (Secondary Teacher Allocation Protocol – S-TAP).

Wigo wa Nafasi Zinazotangazwa

Nafasi hizi zinalenga walimu wenye sifa katika maeneo yafuatayo:

  • Sayansi na Teknolojia (STEM)
  • Masomo ya Amali (Vocational Subjects)
  • Masomo ya Biashara (Business Studies)

Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha maombi ya nafasi hizi mia tano na Nne (504) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

  • Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fizikia kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali; au
  • Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fizikia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali; au
  • Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la Fizikia kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

Bonyeza hapa kupakua PDF

Soma zaidi:

Nafasi 1,500 za Ualimu wa Kujitolea TAMISEMI 2026

Filed in Ajira by on January 13, 2026

Nafasi 1,500 za Ualimu wa Kujitolea 2026 – OWM-TAMISEMI (Mradi wa GPE-TSP)

Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) kupitia Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education – Teacher Support Programme, GPE-TSP) inatekeleza afua mbalimbali za kuimarisha ubora wa elimu nchini. Miongoni mwa afua hizo ni kuratibu upatikanaji wa Walimu wa Kujitolea katika Shule za Sekondari zilizo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kupitia mradi huu, OWM-TAMISEMI inatangaza nafasi 1,500 za Ualimu wa Kujitolea kwa Shule za Sekondari zenye uhitaji mkubwa, kwa kuzingatia Utaratibu wa Upangaji wa Walimu wa Shule za Sekondari (Secondary Teacher Allocation Protocol – S-TAP).

Wigo wa Nafasi Zinazotangazwa

Nafasi hizi zinalenga walimu wenye sifa katika maeneo yafuatayo:

  • Sayansi na Teknolojia (STEM)
  • Masomo ya Amali (Vocational Subjects)
  • Masomo ya Biashara (Business Studies)

Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha maombi ya nafasi hizi elfu moja na mia tano (1,500) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

Majukumu ya Jumla ya Mwalimu wa Kujitolea

Mwalimu wa Kujitolea atawajibika kutekeleza majukumu yafuatayo kwa mujibu wa miongozo ya elimu:

  1. Maandalizi ya Kitaaluma
    • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa.
  2. Zana za Ufundishaji na Ujifunzaji
    • Kutengeneza na kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia kwa kuzingatia mitaala husika.
  3. Ufundishaji na Tathmini
    • Kufundisha, kufanya tathmini za wanafunzi na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya kitaaluma.
  4. Usimamizi wa Mahudhurio
    • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi shuleni na darasani.
  5. Malezi na Ustawi wa Wanafunzi
    • Kusimamia malezi ya wanafunzi kiakili, kimwili na kiroho, pamoja na kutoa ushauri nasaha na unasihi.
  6. Ushauri wa Kitaalamu
    • Kutoa ushauri wa kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya elimu shuleni.
  7. Usimamizi wa Mali za Shule
    • Kusimamia na kutunza vifaa na mali za shule kwa uadilifu na uwajibikaji.
  8. Majukumu Mengine ya Shule
    • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na mahitaji na majukumu ya shule.

Bonyeza hapa kupakua PDF

Soma zaidi:

Nafasi za Kazi za Mkataba Wilaya ya Tunduru 2026

Filed in Ajira by on January 13, 2026

Hili hapa tangazo rasmi la ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, chini ya Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), linalohusu nafasi za kazi za Mkataba kwa wananchi wa Tanzania wenye sifa stahiki.

Taarifa za Jumla za Tangazo:

  • Mwajiri: Halamashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Idara: Usafi wa Mazingira
  • Aina ya Ajira: Mkataba
  • Idadi ya Nafasi: Nafasi 06
  • Tarehe ya Tangazo: 13 Januari 2026
  • Kumb. Na: TDC.L.40/31/53

Ajira Mpya Zilizotangazwa

Wazoaji Taka – Nafasi 06

Sifa za Mwombaji

Mwombaji wa nafasi hizi anatakiwa awe na sifa zifuatazo:

  1. Awe raia wa Tanzania
  2. Awe na afya njema
  3. Awe mwenye akili timamu
  4. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika
  5. Awe na bidii ya kazi pamoja na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi bila kusimamiwa
  6. Awe na nidhamu na uaminifu
  7. Awe ni mtu mwenye uwezo wa kushirikiana na wengine
  8. Awe tayari kufanya kazi za usafi ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kama atakavyo pangiwa na mwajiri
  9. Awe na kitambulisho kimoja wapo kati ya:
    • Kitambulisho cha Uraia (NIDA)
    • Mpiga Kura
  10. Asiwe mtumishi wa umma kwa ngazi yoyote ile

Kazi na Majukumu ya Mwombaji

  1. Kupakia taka kwenye gari
  2. Kufanya kazi ya usafi katika maeneo atakayopangiwa na mwajiri wake

Malipo kwa Mwezi

  • Kibarua cha Kupakia Taka: Tshs 170,000 kwa mwezi
  • Kibarua cha Kufagia: Tshs 160,000 kwa mwezi

Nyaraka za Kuambatanisha

Waombaji wote wanatakiwa kuambatanisha nakala zifuatazo:

  • Nakala ya Kitambulisho cha NIDA au Mpiga Kura
  • Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji

Jinsi ya Kutuma Maombi

Maombi yote yaandikwe na kuwasilishwa kwa:

Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
S.L.P 2/5
Tunduru – Ruvuma

Mwisho wa Kutuma Maombi

19 Januari 2026
Saa 9:30 Alasiri

Soma zaidi:

Nafasi za Kazi NAOT 2026

Filed in Ajira by on January 11, 2026

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 142 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La Tangazo La KaziIdadi Ya NafasiMwajiri
1Mkaguzi Daraja La II121Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
2Afisa Habari Daraja La II (Ubunifu Wa Michoro)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
3Afisa Habari Daraja La II (Uandishi Wa Habari)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
4Mkaguzi Daraja La II (Udaktari Wa Mifugo)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
5Mkaguzi Daraja La II (Famasi)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
6Mkaguzi Daraja La II (Afya Ya Jamii)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
7Mkaguzi Daraja La II (Ustawi Wa Jamii)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
8Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Maji Na Usafi Wa Mazingira)2Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
9Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Umwagiliaji Na Rasilimali Za Maji)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
10Mkaguzi Daraja La II (Sayansi Ya Taarifa Za Kijiografia)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
11Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Vifaa Tiba)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
12Mkaguzi Daraja La II (Uthaminishaji Ardhi)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
13Mkaguzi Daraja La II (Mipango Ya Matumizi Ya Ardhi)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
14Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Umeme)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
15Mkaguzi Daraja La II (Ukadiriaji Ujenzi)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
16Mkaguzi Daraja La II (Uhandisi Wa Ujenzi)2Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
17Mkaguzi Daraja La II (Usanifu Wa Majengo)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
18Mkaguzi Daraja La II (Sayansi Ya Takwimu Bima)1Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
19Mkaguzi Daraja La II (Menejimenti Ya Kodi)2Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)

Jumla Ya Nafasi Zote: 142

Nukuu Ya Kipekee:
“Ukaguzi Madhubuti Ni Msingi Wa Uwajibikaji Na Maendeleo Endelevu Ya Taifa.

Jinsi ya Kutuma maombi

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
S. L. P. 2320, DODOMA.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 24 Januari, 2026.