Ajira
Malipo ya Kujitolea Serikalini 2026
Malipo ya Kujitolea Serikalini 2026 ama mshahara Utumiaji wa vijana wa kujitolea ndani ya Taasisi za Umma ni fursa muhimu kwa maendeleo ya rasilimali watu na utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Hata hivyo, mchakato huu unahitaji mipango madhubuti ya kifedha, kisheria na kiutawala ili kuhakikisha unakuwa endelevu na kuepusha migogoro. “Kujitolea si ajira ya […]
Mwongozo wa Kujitolea Serikalini 2026
Mwongozo wa Kujitolea Katika Utumishi wa Umma Serikalini 2026 huu unaeleza kwa kina sifa za vijana wa kujitolea, utaratibu wa kuwapata, haki na wajibu, pamoja na masharti ya kujitolea katika Taasisi za Umma Tanzania. Maudhui haya ni muhimu kwa wahitimu, taasisi za umma, na wadau wa rasilimaliwatu wanaotafuta taarifa rasmi kuhusu programu za kujitolea serikalini. […]
Mwongozo wa Kujitolea Katika Utumishi wa Umma 2026
Mwongozo wa Kujitolea Katika Utumishi wa Umma 2026 huu unaeleza kwa kina sifa za vijana wa kujitolea, utaratibu wa kuwapata, haki na wajibu, pamoja na masharti ya kujitolea katika Taasisi za Umma Tanzania. Maudhui haya ni muhimu kwa wahitimu, taasisi za umma, na wadau wa rasilimaliwatu wanaotafuta taarifa rasmi kuhusu programu za kujitolea serikalini. Sifa […]
Nafasi za Kazi Chuo cha Mbeya MUST 38
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ama ajira mpya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, maarufu kama MUST, ni chuo kikuu cha umma nchini Tanzania kinachotoa elimu ya juu, kufanya utafiti, na kukuza ubunifu katika nyanja za sayansi na teknolojia kwa maendeleo ya taifa. Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N Jina La Tangazo Idadi […]
Nafasi za Kazi COSTECH 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ama ajira mpya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, maarufu kama COSTECH, ni taasisi ya serikali inayoratibu na kusimamia maendeleo ya sayansi, teknolojia, na ubunifu nchini Tanzania. Tume inalenga kutumia sayansi na teknolojia kama chachu ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya taifa. Ajira Mpya zilizotangazwa na […]
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kilwa 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ama ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na […]
Nafasi za Kazi Wilaya ya Ludewa 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Ludewa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nane (8) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo S/N […]
Nafasi za Kazi Manispaa ya Mpanda 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi kutoka Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda anawatangazia wananchi wote kuomba nafasi ya kazi ya ajira ya Mkataba kama ifuatavyo: Ajira mpya zilizotangazwa na Maelezo 1. Mwalimu – Nafasi 5 2. Mpishi – Nafasi 1 3. Walezi wa Watoto – Nafasi 2 Pitia makala: Masharti ya Jumla wakati wa […]
Walioitwa Kazini Bunge la Tanzania 2025
Walioitwa Kazini Bunge la Tanzania 2025 Taarifa ya Kuripoti Kazini – Ofisi ya Bunge Dodoma (Ajira 2026) Waombaji Kazi Waliofaulu Usaili wa Utumishi. Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali katika Utumishi wa Bunge waliotajwa katika tangazo hili kwamba walifaulu kushinda waombaji wenzao kwenye usaili uliofanyika tarehe 20 hadi 23 Disemba, 2025 […]
Walioitwa Kazini Ajira Portal 2025
Walioitwa Kazini Ajira Portal 2025 Matokeo ya Usaili Ajira za Serikali 2024–2025 – Sekretarieti ya Ajira Taarifa kwa Waombaji wa Nafasi za Ajira Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji wote wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 Novemba 2024 hadi 24 Oktoba 2025 kuwa matokeo ya […]