Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 Haya hapa
Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 yametangazwa rasmi na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Unaweza kuyaangalia kupitia ukurasa rasmi wa NECTA:
- NECTA ACSEE Results 2026
- Au kupitia Tovuti rasmi ya NECTA
Jinsi ya kuangalia matokeo:
- Fungua ukurasa wa matokeo wa NECTA.
- Chagua ACSEE.
- Chagua mwaka 2026.
- Bonyeza jina la shule yako.
- Tafuta jina lako au namba yako ya mtihani kuona matokeo yako.
Utatafta kwa:
- Jina la shule, au
- Namba ya mtihani (mfano: S0334/0123),
Tags: Kidato cha Sita