NECTA Matokeo ya Form Six 2026 ACSEE

Filed in Matokeo by on July 6, 2026

Matokeo ya form six Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 yametangazwa rasmi na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

Unaweza kuyaangalia kupitia ukurasa rasmi wa NECTA:

Jinsi ya kuangalia matokeo:

  1. Fungua ukurasa wa matokeo wa NECTA.
  2. Chagua ACSEE.
  3. Chagua mwaka 2026.
  4. Bonyeza jina la shule yako.
  5. Tafuta jina lako au namba yako ya mtihani kuona matokeo yako.

Utatafta kwa:

  • Jina la shule, au
  • Namba ya mtihani (mfano: S0334/0123),

Tags:

Comments are closed.