Nafasi za Kazi TIA na TMA 2026
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi.
Tunakaribisha wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma, wenye uadilifu, wachapakazi na waliohitimu ipasavyo kujaza jumla ya nafasi ishirini na nne (24) kama zilivyoainishwa hapa chini.
Ajira Mpya zilizotangazwa Mwanga
1. Msaidizi wa Afisa Hali ya Hewa Daraja la II – Nafasi 22
2. Mhadhiri Msaidizi (Ununuzi na Usimamizi wa Ugavi) – Nafasi 2
Soma zaidi: