Tag: JKT
Nafasi za Kujiunga na Jeshi JKT 2026
Nafasi za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kwa kujitolea mwaka 2026 Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yanawatangazia Vijana wote wa Kitanzania Bara na Visiwani kuhusu fursa za kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea kwa mwaka 2026. Tangazo hili limetolewa na Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, […]