Tag: Mafunzo ya JKT
Utaratibu wa Kuomba Mafunzo ya JKT 2026
Utaratibu wa Kuomba Nafasi za Mafunzo kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa JKT 2026 Utaratibu wa vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea unaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambako mwombaji anaishi. Vijana wanashauriwa kuwasiliana na ofisi hizo kwa maelekezo ya kina kuhusu namna ya kuwasilisha maombi […]