Tag: Tabora
Nafasi za Kazi Manispaa ya Tabora 2026
Hili hapa tangazo la ajira mpya au nafasi za kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo 1. Msaidizi wa […]