Nafasi za Kazi Manispaa ya Tabora 2026
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hili hapa tangazo la ajira mpya au nafasi za kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo
1. Msaidizi wa Kumbukumbu – Nafasi 5
Soma zaidi:
- Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Biolojia (Biology) 2026
- Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Kemia (Chemistry) 2026
- Sifa za Mwalimu wa kujitolea wa somo la Fizikia (Physics)
- Nafasi 1,500 za Ualimu wa Kujitolea TAMISEMI 2026
Jinsi ya Kutuma maombi Handeni
Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:
Mkurugenzi wa Manispaa,
Manispaa ya Tabora,
4 Barabara ya Kiwanja cha Ndege,
S.L.P 174,
45182 TABORA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22 Januari, 2026.
Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.
Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.
Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.
Rejea:
Tags: Tabora