Tag: TLSB
Nafasi za kazi TLSB 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), ni taasisi ya serikali inayohusika na maendeleo, usimamizi, na uendeshaji wa huduma za maktaba nchini Tanzania. TLSB inalenga kukuza utamaduni wa kusoma, kujifunza, na kupata taarifa sahihi kwa maendeleo ya elimu, jamii, na taifa kwa ujumla. Ajira […]