Nafasi za kazi TLSB 2025

Filed in Ajira by on December 29, 2025

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), ni taasisi ya serikali inayohusika na maendeleo, usimamizi, na uendeshaji wa huduma za maktaba nchini Tanzania.

TLSB inalenga kukuza utamaduni wa kusoma, kujifunza, na kupata taarifa sahihi kwa maendeleo ya elimu, jamii, na taifa kwa ujumla.

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La TangazoIdadi Ya NafasiJina La Mwajiri
1Mkutubi Daraja La PiliNafasi 13Bodi Ya Huduma Za Maktaba Tanzania (TLSB)
2Msaidizi Wa Maktaba Daraja La PiliNafasi 7Bodi Ya Huduma Za Maktaba Tanzania (TLSB)
3Mkufunzi Daraja La Pili (Usimamizi Wa Kumbukumbu Na Nyaraka)Nafasi 1Bodi Ya Huduma Za Maktaba Tanzania (TLSB)
4Mkufunzi Daraja La Pili (Usimamizi Wa Maktaba Na Taarifa)Nafasi 1Bodi Ya Huduma Za Maktaba Tanzania (TLSB)

Soma zaidi:

Jinsi ya Kutuma maombi TLSB

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

Secretary,
Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat,
P.O. Box 2320,
Mahakama Street, Tambukareli,
Dodoma.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Tags:

Comments are closed.