Tag: UAE

Fursa 500 za Ajira kwa Madereva Pikipiki UAE (2026)

Filed in Ajira by on December 29, 2025
Fursa 500 za Ajira kwa Madereva Pikipiki UAE (2026)

Tangazo la Fursa 500 za Ajira kwa Madereva Pikipiki UAE (2026) maombi yatumwe kwenye mfumo wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya Target Tours and Labour Supply Company Limited, inawatangazia Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi ya ajira ya Madereva wa Pikipiki ili kujaza nafasi 500 zilizoidhinishwa […]

Continue Reading »