NECTA Matokeo ya Kidato cha Nne 2025

Filed in Matokeo by on January 30, 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Matokeo ya Kidato cha Nne Form four 2025 NECTA – Jinsi ya Kuangalia matokeo ya form four 2025/2026 kutangazwa kupitia tovuti www.necta.go.tz, Umuhimu Wake na Maelezo Muhimu ni hatua muhimu kwa mwanafunzi, mzazi na mwalimu katika kufuatilia maendeleo ya elimu ya sekondari nchini Tanzania kuendelea na masomo ya chuo au form five.

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne 2025

Hapa Unaweza kuangalia matokeo ya form four 2025 NECTA kwa kufuata hatua hizi rahisi:

Bonyeza hapa kuangalia matokeo ya form four 2025 mikoa yote

Hatua kwa Hatua

  1. Fungua tovuti rasmi ya NECTA
  2. Chagua sehemu ya Matokeo ama gusa hapa https://www.necta.go.tz/results/view/csee
  3. Bofya CSEE Matokeo kidato cha nne 2025
  4. Chagua mkoa au shule
  5. Tafuta namba ya mtihani ya mwanafunzi

“Teknolojia imefanya matokeo ya elimu kuwa karibu zaidi kuliko wakati wowote.”

Aina za Taarifa Utakazoziona kwenye Matokeo

KipengeleMaelezo
Namba ya mwanafunziNamba kamili ya aliyefanya mtihani
Namba ya mtihaniNamba ya utambulisho wa mtihani
ShuleShule aliyosoma
MasomoOrodha ya masomo aliyofanya
AlamaAlama za kila somo
DarajaDaraja la jumla

Soma zaidi:

Tags:

Comments are closed.