Nafasi za Kazi Chuo cha DUCE 2026

Filed in Ajira by on January 7, 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam 2026, maarufu kama DUCE, ni chuo cha umma chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya juu katika fani za elimu, sayansi, na michezo.

DUCE inalenga kuandaa walimu na wataalamu wa elimu wenye weledi na maadili kwa maendeleo ya sekta ya elimu nchini Tanzania.

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La Tangazo La KaziIdadi Ya NafasiMwajiri
1Mhadhiri Msaidizi (Fizikia)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
2Mhadhiri Msaidizi (Sayansi Ya Kompyuta)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
3Mhadhiri Msaidizi (Baiolojia Ya Molekuli)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
4Mhadhiri Msaidizi (Sayansi Ya Siasa Na Utawala Wa Umma)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
5Mhadhiri Msaidizi (Uhasibu)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
6Msaidizi Wa Mafunzo (Uchumi Na Takwimu)Nafasi 2Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
7Msaidizi Wa Mafunzo (Sayansi Ya Siasa Na Utawala Wa Umma)Nafasi 2Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
8Msaidizi Wa Mafunzo (Uhasibu)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
9Mhadhiri Msaidizi (Mbinu Za Ufundishaji Wa Fizikia)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
10Mhadhiri Msaidizi (Elimu Ya Awali Ya Mtoto)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
11Msaidizi Wa Mafunzo (Sayansi Ya Kompyuta)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
12Msaidizi Wa Mafunzo (Hisabati)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
13Msaidizi Wa Mafunzo (Baiolojia Ya Molekuli Na Baiolojia Taarifu)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
14Msaidizi Wa Mafunzo (Mbinu Za Ufundishaji Wa Fasihi)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
15Msaidizi Wa Mafunzo (Mbinu Za Ufundishaji Wa Uchumi)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
16Msaidizi Wa Mafunzo (Elimu Ya Awali Ya Mtoto)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
17Msaidizi Wa Maktaba (Uorodheshaji Na Uainishaji)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)
18Msaidizi Wa Maktaba (Mifumo Ya Taarifa / TEHAMA)Nafasi 1Chuo Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE)

Jumla Ya Nafasi Zote: 21

Nukuu Ya Kipekee:
“Elimu Bora Huimarika Kupitia Wataalamu Wanaochaguliwa Kwa Umakini Na Ubora.”

Jinsi ya Kutuma maombi Handeni

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

Dar es Salaam University College of Education,
P.O. Box 2329
DAR ES SALAAM.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Soma zaidi”

Tags:

Comments are closed.