Nafasi za kazi Mji Babati 2026

Filed in Ajira by on January 3, 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La Tangazo La KaziIdadi Ya NafasiMwajiri
1Mwandishi Mwendeleza Ofisi Daraja La PiliNafasi 6Halmashauri Ya Mji Babati
2Dereva Daraja La PiliNafasi 4Halmashauri Ya Mji Babati

Nukuu Ya Kipekee:
“Fursa Ni Mlango Wa Mafanikio; Anayechukua Hatua Leo, Huandika Historia Yake Kesho.”

Jinsi ya Kutuma maombi Babati

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

KURUGENZI WA MJI,
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI,
S.L.P 383,
BABATI.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Soma zaidi”

Tags:

Comments are closed.