Nafasi za Kazi Wilaya ya Gairo 2026

Filed in Ajira by on January 3, 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La Tangazo La KaziIdadi Ya NafasiMwajiri
1Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La PiliNafasi 2Halmashauri Ya Wilaya Ya Gairo
2Dereva Daraja La PiliNafasi 3Halmashauri Ya Wilaya Ya Gairo
3Dereva Daraja La PiliNafasi 2Halmashauri Ya Wilaya Ya Gairo

Nukuu Ya Kipekee:
“Ajira Si Bahati, Ni Maandalizi Yanayokutana Na Fursa.”

Jinsi ya Kutuma maombi Gairo

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO,
S. L. P 40,
GAIRO.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Soma zaidi”

Tags:

Comments are closed.