Nafasi za Kazi Wilaya ya Handeni 2026

Filed in Ajira by on January 3, 2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.

Hili hapa tangazo la nafasi za kazi au ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Handeni anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ishirini na nane (28) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

Ajira Mpya zilizotangazwa na Maelezo

S/NJina La Tangazo La KaziIdadi Ya NafasiMwajiriHatua Ya Maombi
1Mwandishi MwendeSha Ofisi Daraja La PiliNafasi 6Halmashauri Ya Wilaya Ya HandeniIngia Ili Kuomba
2Dereva Daraja La PiliNafasi 13Halmashauri Ya Wilaya Ya HandeniIngia Ili Kuomba
3Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La PiliNafasi 8Halmashauri Ya Wilaya Ya HandeniIngia Ili Kuomba

Nukuu Ya Kipekee:
“Kazi Bora Huanzia Kwenye Taarifa Sahihi Na Maamuzi Ya Mapema.”

Jinsi ya Kutuma maombi Handeni

Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza na ielekezwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni,
S.L.P 355,
HANDENI.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 Januari, 2026.

Waombaji watakaoteuliwa katika orodha ya awali (shortlist) pekee ndio watakaopata taarifa kuhusu tarehe ya usaili.

Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi au taarifa zisizo za kweli utachukuliwa kama kosa la kisheria na hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhusika.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya PSRS kwa kubofya sehemu ya ‘Recruitment Portal’).

Bonyeza hapa kudownload PDF

Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote tofauti na mfumo uliobainishwa hayatazingatiwa.

Soma zaidi”

Tags:

Comments are closed.